Sura An-Nasr

سُورَةُ النَّصۡرِ

Madaniya · aya 3 · Juzuu 30

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

Hifadhi Sura An-NasrSoma kwa sauti na Shamsa inasikiliza, ikikuonyesha neno uliloruka au ulilokosea. Pamoja na matamshi ya Kilatini, bure.

Tafsiri: Ali Muhsin Al-Barwani

إِذَا جَآءَ نَصْرُ ٱللَّهِ وَٱلْفَتْحُ ﴿١﴾

1. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,

وَرَأَيْتَ ٱلنَّاسَ يَدْخُلُونَ فِى دِينِ ٱللَّهِ أَفْوَاجًۭا ﴿٢﴾

2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,

فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَٱسْتَغْفِرْهُ ۚ إِنَّهُۥ كَانَ تَوَّابًۢا ﴿٣﴾

3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.

Tafsiri © Ali Muhsin Al-Barwani. Maandishi ya Kiarabu (Uthmani): Mradi wa Tanzil.

Katika programu ya Shamsa unaweza kusikiliza kila sura, kuweka alama ulipoishia na kusoma bila intaneti.