Sura Al-Kawthar

سُورَةُ الكَوۡثَرِ

Makkiya · aya 3 · Juzuu 30

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

Hifadhi Sura Al-KawtharSoma kwa sauti na Shamsa inasikiliza, ikikuonyesha neno uliloruka au ulilokosea. Pamoja na matamshi ya Kilatini, bure.

Tafsiri: Ali Muhsin Al-Barwani

إِنَّآ أَعْطَيْنَٰكَ ٱلْكَوْثَرَ ﴿١﴾

1. Hakika tumekupa kheri nyingi.

فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنْحَرْ ﴿٢﴾

2. Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.

إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلْأَبْتَرُ ﴿٣﴾

3. Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.

Tafsiri © Ali Muhsin Al-Barwani. Maandishi ya Kiarabu (Uthmani): Mradi wa Tanzil.

Katika programu ya Shamsa unaweza kusikiliza kila sura, kuweka alama ulipoishia na kusoma bila intaneti.