Sura Al-Ma'un

سُورَةُ المَاعُونِ

Makkiya · aya 7 · Juzuu 30

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

Hifadhi Sura Al-Ma'unSoma kwa sauti na Shamsa inasikiliza, ikikuonyesha neno uliloruka au ulilokosea. Pamoja na matamshi ya Kilatini, bure.

Tafsiri: Ali Muhsin Al-Barwani

أَرَءَيْتَ ٱلَّذِى يُكَذِّبُ بِٱلدِّينِ ﴿١﴾

1. Je! Umemwona anaye kadhibisha Malipo?

فَذَٰلِكَ ٱلَّذِى يَدُعُّ ٱلْيَتِيمَ ﴿٢﴾

2. Huyo ndiye anaye msukuma yatima,

وَلَا يَحُضُّ عَلَىٰ طَعَامِ ٱلْمِسْكِينِ ﴿٣﴾

3. Wala hahimizi kumlisha masikini.

فَوَيْلٌۭ لِّلْمُصَلِّينَ ﴿٤﴾

4. Basi, ole wao wanao sali,

ٱلَّذِينَ هُمْ عَن صَلَاتِهِمْ سَاهُونَ ﴿٥﴾

5. Ambao wanapuuza Sala zao;

ٱلَّذِينَ هُمْ يُرَآءُونَ ﴿٦﴾

6. Ambao wanajionyesha,

وَيَمْنَعُونَ ٱلْمَاعُونَ ﴿٧﴾

7. Nao huku wanazuia msaada.

Tafsiri © Ali Muhsin Al-Barwani. Maandishi ya Kiarabu (Uthmani): Mradi wa Tanzil.

Katika programu ya Shamsa unaweza kusikiliza kila sura, kuweka alama ulipoishia na kusoma bila intaneti.