Sura Al-Falaq

سُورَةُ الفَلَقِ

Makkiya · aya 5 · Juzuu 30

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

Hifadhi Sura Al-FalaqSoma kwa sauti na Shamsa inasikiliza, ikikuonyesha neno uliloruka au ulilokosea. Pamoja na matamshi ya Kilatini, bure.

Tafsiri: Ali Muhsin Al-Barwani

قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلْفَلَقِ ﴿١﴾

1. Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,

مِن شَرِّ مَا خَلَقَ ﴿٢﴾

2. Na shari ya alivyo viumba,

وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ ﴿٣﴾

3. Na shari ya giza la usiku liingiapo,

وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّٰثَٰتِ فِى ٱلْعُقَدِ ﴿٤﴾

4. Na shari ya wanao pulizia mafundoni,

وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ ﴿٥﴾

5. Na shari ya hasidi anapo husudu.

Tafsiri © Ali Muhsin Al-Barwani. Maandishi ya Kiarabu (Uthmani): Mradi wa Tanzil.

Katika programu ya Shamsa unaweza kusikiliza kila sura, kuweka alama ulipoishia na kusoma bila intaneti.